Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

matoleo ya bibilia

Neno: Bibilia Takatifu 2025

Swahili

This revised NENO is the long-awaited answer to contemporary Kiswahili readers of the Bible. This Revision has maintained utmost faithfulness to the original biblical languages. It relays the biblical truth in the words originally written in Aramaic, Hebrew and Greek, to bear the same meaning with clarity to Kiswahili speakers in their heart language. The guiding ray is that the Word became flesh and dwelt with us. In that very flesh, the Word was able to speak naturally with the Jews, just as he does with us in Kiswahili. NENO exists to ensure that the intended naturality will take first place with the readers. The aim is that the reader’s faith will be strengthened and that this word will dwell in them.

Kuhusu Neno: Biblia Takatifu

Biblia ya NENO iliyosahihishwa in jibu kwa ombi la wasomaji wa leo wa Biblia kwa Kiswahili. Nakala hii imedumisha uaminifu kamili kwa lugha za kwanza ambazo Biblia iliandikwa kwazo. Nakala hii inapeana ukweli wa lugha za asili za Kiaramu, Kiebrania na Kiyunani, ili kuwapa wasomaji wa leo ujumbe uliokusudiwa na waandishi wa kwanza, kwa lugha yao ya asili. Nuru inayoongoza wahariri ni Neno la Mungu aliyezaliwa kama mwanadamu na kuishi nasi. Akiwa katika mwili huo, Neno aliweza kunena na Wayahudi vile anavyozungumza nasi leo katika lugha ya Kiswahili. Biblia Takatifu ya NENO inahakikisha kwamba uasili uliokusudiwa mwanzoni unafikia msomaji wa leo. Kusudi ni kwamba imani ya msomaji itaimarishwa, na Neno hili litadumu ndani yake.

Kuhusu Biblica

Biblica is a global ministry innovating new ways to reach people with the Bible. Now in its third century of mission, Biblica continues to produce Bible translations and resources that power hundreds of Gospel ministries worldwide — all so that more people can discover the love of Jesus Christ.


Biblica, Inc.

NENO MCHAPISHAJI

Jifunze zaidi

Matoleo mengine kwa Biblica, Inc.