Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kutorokea MisriMfano

Kutorokea Misri

SIKU 1 YA 7

 Nchi Isiyojulikana

Wiki hii tunajifunza kuhusu wakati ambapo Yosefu na Maria walipaswa kukimbia Misri na kujificha kwa muda. Yesu alikuwa bado mdogo sana kama Maria na Yosefu. Lakini mfalme Herode hakutaka mashindano yoyote kwa hiyo alikuwa akijaribu kuharibu mfalme aliyezaliwa kwa kuwaangamiza watoto wote wa kiume chini ya umri wa miaka miwili. Kwa hakika hii ilikuwa wakati wa kutisha sana kwa Yosefu na Maria. Walikuwa na mtoto aliyezaliwa na sasa wangepaswa kwenda nchi ambayo hawakufahamu na kukaa mpaka ilikuwa salama tena kurudi. Ilimaanisha kwamba wangepaswa kuamini na kutegemea Bwana kuwasaidia katika yote. Mungu alijitokeza kuwa mwamba, ngome wa imara kwa Yosefu, Maria na Yesu. Anaendelea kufanya hivyo kwa sisi kama tunamwamini Yeye katika hali zetu ngumu. Leo tafakari kwa maisha yako, jinsi mara kwa mara unapotafuta njia ya kutorokea misri. Chochote kinacho kutorosha Mungu yupo nawe hata ukiwa katika hali ya kuwa Misri popote ulipo.

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Kutorokea Misri

Muda mfupi baada ya ziara ya Wayahudi, ambao walijua kwamba Mfalme Herode alitaka kuua watoto wa eneo hilo, malaika alimtokea Yosefu katika ndoto kumwambia aende Misri na Maria na mtoto wa kijana Yesu. Swali 1: Ni nini u...

More

Tungependa kushukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.gnpi-africa.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha