Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023

SIKU 13 YA 31

Ilibakia kidogo Bwana arusi wa Kana kufedheheka kwa kuwa alitindikiwa kinywaji kwa ajili ya wageni wa sherehe. Aliokoka kutoka fedheha hii kwa sababu: Mosi, alimwalika Bwana Yesu katika arusi yake, na pili, alisikia na kuamini neno aliloambiwa naye. Je, na wewe unafanya sherehe kwa namna ileile? Na ikiwa umeoa au kuolewa, je, Yesu ni Bwana vilevile katika ndoa yako? Kama jibu lako ni ”ndiyo”, hata sherehe au ndoa yako itakuwa ishara inayodhihirisha utukufu wa Yesu kama ilivyotokea kule Kana!

Andiko

siku 12siku 14

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023

Soma Biblia Kila Siku Januari/2023 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha