Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021

SIKU 4 YA 31

Katika jengo la hekalu, upande wa nje kwa nyuma ya jengo, kila ubavu, kulikuwa na vyumba kwenye ghorofa tatu vilivyotumiwa kama ghala. Bila shaka baadhi ya vyumba vilitengwa kwa ajili ya kutunzia sadaka za waumini. Kutokana na uaminifu wa watoaji, hekalu lililazimika kuwa na vyumba rasmi kwa ajili ya kutunzia sadaka hizo. Tujiulize sisi wakristo wa leo, Utoaji wetu kwa ajili ya ufalme wa Mungu, je, unalingana na picha hiyo ya hekalu jipya? Neno hili litusaidie kutathmini utoaji wetu.

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Wakolosai, Marko na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mun...

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha