Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Silaha ya MunguMfano

The Armor of God

SIKU 1 YA 5

Vitu kubwa vinavyoleta shida katika maisha yako--vitu unavyovifahamu kwa hisia zako tano--siyo vitu halisi. Kina kitu kinachotokea katika macho, ulimwengu wa mwili unahusika moja kwa moja na vita vinavyopiganwa pasipo kuonekana, ulimwengu wa kiroho. Adui yako halisi--shetani--anataka udharau ukweli wa kiroho nyuma ya ule wa kimwili. Kwa sababu kwa kadri utakavyozingatia unachokiona katika macho yako ya nyama, anaweza kuendelea kuleta uharibifu chini kwa chini. Kadri unavyomdharau, ndivyo anavyoweza kuleta uharibifu zaidi. Adui anaweza kuwa haonekani, lakini siyo hadithi. Ni halisi sana, na king'ang'anizi, akipigana vita nasi pasipo kukoma.



Kuwa mwamini haikupi wewe kinga ya mashambulizi ya adui, lakini inakupa njia ya kupata nguvu ya Baba--nguvu yake ya kukulinda wewe pia kurudisha kilichofanyika kwako. Kama unataka kushinda vita--kama unataka kuungana nami katika kuchambua maandiko, kumkandamiza adui, na kuzuia athari zake katika maisha yako--ufunguo ni kutambua kwamba umeunganishwa na nguvu za kiroho kuliko zinazokuja kinyume nawe.



Paulo aliandika Efeso si tuu kukazia vita vya kiroho vilivyopo katika kutokuonekana, ulimwengu usioonekana, lakini zaidi kwa kusudi la kufunua nguvu iliyomo ndani ya kila mmoja aliye na uhusiano na Mungu kupitia kwa Kristo. Katika Efeso, Paulo anakazia jambo moja la muhimu sana ambalo halisemwi sana kama silaha ya kiroho: maombi.



Paulo aliona maombi ni ya muhimu sana katika kupata ushindi dhidi ya nguvu za shetani katika maisha yetu kwamba, kama mwana zuoni mmoja alivyosema, " Waefeso ina karibia asilimia 55 ya mistari inayohusiana na maombi" kama Warumi, waraka mrefu wa Paulo. 1Hata aliweza alikuwa akibubujikwa na maombi mara kadha wakati akiandika. Na anapoomba... acha, ana mpango, ana uhakika kuwaambia wasomaji wake alichokuwa anaombea. Alijua maombi yanaweza kubadilisha njia ya maisha yao yote. Ushindi katika vita vya kiroho hauwezi kutenganishwa na maombi.



Soma Waefeso: 1:18-21 na 3:14-19. Katika mambo yote Paulo anaomba, ni nini ungependa sana kumwomba Mungu leo

siku 2

Kuhusu Mpango huu

The Armor of God

Kila siku, vita isiyoonekana inapiganwa kukuzunguka--haionekani, haisikiki, lakini bado unaihisi katika maisha yako yote. Adui wa kishetani aliyejitoa kuleta uharibifu kwa kila kitu muhimu kwako: moyo wako, akili yako, n...

More

Tungependa kuwashukuru Priscilla Shirer na LifeWay Christian Resources kwa kutupa mpango huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea: www.lifeway.com

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha