Mpango Bora wa KusomaMfano

Katika Mithali 15 na Zaburi 37, tunapata mawazo zaidi juu ya kufanya uchaguzi bora ya kuishi na uchache, kama vile Mithali 15:16, ambayo inasema, "Bora uchache na kumcha Bwana kuliko utajiri mkubwa na msukosuko." Kwa maneno mengine, ni bora kuwa na kidogo na Mungu kuliko kuwa na kingi bila yeye.
Andiko
Kuhusu Mpango huu

unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv