Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 10/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 10/2020

SIKU 6 YA 31

Ni watu wachache sana wanaojivunia mateso. Hawa ni wale Wakristo waaminifu, walioteswa kwa namna nyingi kwa sababu ya kumshuhudia Yesu Kristo na utawala wake. Wamemfuata Yesu Kristo katika kila hatua ya maisha. Paulo analazimika kuweka bayana mateso yaliyompata. Nia yake si ili kujitwalia sifa na utukufu. La hasha! Mateso yake yanadhihirisha utume wake kuwa umetoka kwa Yesu Kristo. Ukipenda kujifunza zaidi kuhusu mateso ya Paulo na alivyovumilia hayo yote kwa ajili ya Kristo, soma k.m. Flp 3:4-8, Mdo 14:19, 16:22-24, 21:30-33, na 22:24-30.

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 10/2020

Soma Biblia Kila Siku 10/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wakorintho, Mwanzo na 1 Petro. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu....

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha