Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 10/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 10/2020

SIKU 8 YA 31

Sifa kuu ya ushuhuda wa Paulo inathibitishwa na maono na mafunuo aliyoyapokea kutoka kwa Bwana Yesu (m.2-3). Hatujui kwa hakika ni lini alipopata na kuyapitia haya yote. Lakini matukio kadhaa yaliyompata yanaweza kutuwezesha kujua jinsi Paulo alivyokutana na uso wa Mungu (unaweza kutazama k.m. Mdo 9:1-16 na 14:19-20). Kazi ya kumshuhudia Kristo haiendi na wala haifanikiwi pasipo kukutana ana kwa ana na mwenye kazi, ambaye ni Yesu Kristo.

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 10/2020

Soma Biblia Kila Siku 10/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wakorintho, Mwanzo na 1 Petro. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu....

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha