Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Bila UtulivuMfano

Restless

SIKU 3 YA 3

Jana, tuliona jinsi Yesu alivyobadili wazo la kupumzika siku ya sabato kama zawadi ya kufurahia, kuliko kuwa sheria ya kuitii. Kwa hiyo, ikiwa sabato ni, kwa maneno ya Yesu, "imewekwa kwa ajili ya wanadamu" (Marko 2:27), swali linakuja, mwanadmu anahitaji nini zaidi? Kama tulivyoona siku ya kwanza ya mpango huu, tunahitaji dawa ya mahangaiko, ambayo ni kubadilisha vitu vinavyodhoofisha maisha yetu na vitu vinavyohuisha maisha yetu, kujizoeza kushukuru, na kujikumbusha jinsi kazi ya msalaba ya Yesu inavyotuweka huru kutokana na msongo wa kujitaabisha hapa Duniani.


Familia yangu na mimi tunafurahia zawadi ya mfano wa sabato kupumzika kila jumapili, tunapojitahidi kufanya vitu ambavyo " "vinatupa uzima" na kujitahidi kadri tuwezavyo kuacha jitihada zozote za uzalishaji. Kwetu, ni kuachana na simu zetu, kula chakula tunachokipenda, kutumia muda mwingi kwenye neno la Mungu, na kuwa na muda familia na rafiki zetu. Na siku pekee ya kupumzika kwangu ni siku moja, kwa makusudi tunasimamisha maongezi yoyote yenye tija. Ikimaanisha hakuna kuzungumzia mawazo juu ya kitabu changu kijacho, hakuna kupanga juu ya likizo yetu ijayo, na hakuna kujadili ratiba ya juma lijalo. Kwa siku moja, kwa kadri tunavyoweza, tunapumzika na kushukuru kwa mambo mazuri, kazi, na watu Mungu aliotupa, pasipo kujitahidi kwa kitu chochote.

Mke wangu na mimi tuliooanza kufuata sabato miaka michache iliyopita, ilijulikana wazi kwa nini Yesu alisema kwamba sabato ni kwa wanadamu na si vinginevyo. Sabato ni nafasi ya kupumzika na masumbuko ya dunia ili kukamilisha, kutatua, kuburudika na kutumia. Si siku ya kuyaangalia maisha yetu, kazi zetu, na msalaba na kusema kwa kumaanisha, " yatosha".

Aina hii ya mapumziko haiji kirahisi kwangu. Wala haikaribiani. Lakini kadri navyofanya mapumziko mara kwa mara, ndivyo mahangaiko na masumbufu yanapungua. Kama una masumbufu kama mimi, nakutia moyo usikilize Yesu anachokuambia kwamba mapumziko ya sabato ni kwa ajili yako. Si amri ya kisheria tena. Ni zawadi iliyonzuri leo kuliko ilivyokuwa kabla. Naomba uipokee.

Je, mpango huu umekuwa wa msaada kwako?

"http://www.jordanraynor.com/restless"
Tafuta mafundisho mengine kutok kwa Jordan Raynor

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Restless

"Mioyo yetu haina utulivu mpaka ipate ulivu kwako." Haijawahi kutokea kuwa wengi wetu tukakosa utulivu Agustine alielezea kwa hii sentesi maarufu. Lakini suluhisho kwa kukosa utulivu wa kweli kwetu ni nini? Huu mpango wa...

More

Tungependa kuwashukuru Journey Church kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: http://www.jordanraynor.com/restless/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha