Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Pumua shauku ya kiroho ndani ya ndoa yakoMfano

Breathe Spiritual Passion Into Your Marriage

SIKU 1 YA 7

"Mungu kama Baba mkwe" Inakuja kila siku kama onyo, and kusema ukweli, niliihitaji kama kwa mara. Nilikua mume kijana, na katikati ya muda ya maombi, nilihisi Mungu kuniambia kwa wazi kama Lisa hakukua tu mke wangu, ila alikua pia binti wake na nilipashwa mkesjea kama iwezekanavyo. Hii likua muda ya ufunuo kwangu, na uwezo wa hii ufunuo ilikomea wakati nilipokua nawatoto. Ikiwa kama unataka kufiungana upande wangu, kua vizuri na watotot wangu basi. Kwa kinyume, kama unataka nikusirikie, gusa watoto wangu. Kua ya maana kwao. Damu yangu itatembea sana kama jina yako imetajwa kwakuwa nda kubali unikosee mahali ukosee watoto wangu. Sasa nilipo elewa kama niliowa binti ya Mungu — na jinsi wewe, mwanamke, uliowana na kijana wa Mungu — mambo yote kuhusu namna nilivyo tazama ndoa ilibadilika. Mungu anahusika kuhusu mke wangu — binti Wake — kwa njia ya utukufu na zaidi shauku zaidi kuliko jinsi ninavyo hisi kuhusu binti wangu. Kwa gafla, ndoa yangu haikubaki tu kunihusu na mutu mwengine; ilikua kabisa mauhusiano pamoja na mwengine wa tatu ambaye anahusika kabisa. Nilitambua kama moja kati ya fomu ya msingi ya ibada ndani ya maendeleo ya maisha ilikua kuheshimu Mungu kwa kuhudumia mwanamke ambaye atakua kila siku, ndani ya mawazo ya Mungu, "binti wa Mungu." Tunazoea kusikia wachungaji waki tafakari kuhusu ubaba wa Mungu, wa ajabu na mafundisho ya kweli. Ila kama unataka kubadilisha ndoa yako, panua mfano huu na chukua muda wa kufikiria kuhusu Mungu kama Baba mkwe. Kwa sababu unapo oana na anaye amini, ndio ni Baba mkwe! * Je umewayi fikiria kama mume ao mke wako kama kua kijana/binti wa Mungu? Namna gani hii hubadilisha mauhusiano wako (matendo kama vile hali) pamoja naye mke/mume?
siku 2

Kuhusu Mpango huu

Breathe Spiritual Passion Into Your Marriage

Ikichukuliwa kutoka kitabu chake kipya "Maisha marefu ya upendo", Gary Thomas anaongea kuhusu madhumuni ya milele ndani ya ndoa. Jufunze viungu vya maana kwa kusaidia kubeba ndoa yako ndani ya mahusiano yakujaa na mambo ...

More

Tulipenda kushukuru David C Coon kwa kutupatia hii mpango. Kwa maelezo zaidi tafadhali nenda kwa: http://www.dccpromo.com/a_lfelong_love/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha