Waroma 16:13,18
Waroma 16:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Nisalimieni Rufo, mtu hodari sana katika kazi ya Bwana, na mama yake ambaye ni mama yangu pia.
Shirikisha
Soma Waroma 16Waroma 16:18 Biblia Habari Njema (BHN)
maana watu wa namna hiyo hawamtumikii Kristo Bwana wetu, bali wanayatumikia matumbo yao wenyewe. Kwa maneno yao matamu na hotuba za kubembeleza hupotosha mioyo ya watu wanyofu.
Shirikisha
Soma Waroma 16Waroma 16:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nisalimieni Rufo, mteule katika Bwana, na mamaye, aliye mama yangu pia.
Shirikisha
Soma Waroma 16Warumi 16:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu walio hivyo hawamtumikii Bwana wetu Kristo, bali matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na ya kujipendekeza waidanganya mioyo ya watu wanyofu.
Shirikisha
Soma Waroma 16Waroma 16:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nisalimieni Rufo, mteule katika Bwana, na mamaye, aliye mama yangu pia.
Shirikisha
Soma Waroma 16Rum 16:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa sababu walio hivyo hawamtumikii Bwana wetu Kristo, bali matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na ya kujipendekeza waidanganya mioyo ya watu wanyofu.
Shirikisha
Soma Waroma 16