Zaburi 92:8-9
Zaburi 92:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
bali wewe, ee Mwenyezi-Mungu, u mkuu milele. Hao maadui zako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, hao maadui zako, hakika wataangamia; wote watendao maovu, watatawanyika!
Shirikisha
Soma Zaburi 92Zaburi 92:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali Wewe, BWANA, U Mtukufu hata milele. Maana hao adui zako, Ee BWANA, Hao adui zako watapotea, Na watendao maovu watatawanyika wote pia.
Shirikisha
Soma Zaburi 92