Zaburi 92:13-14
Zaburi 92:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama miti iliyopandwa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu, hustawi katika nyua za Mungu wetu; huendelea kuzaa matunda hata uzeeni; daima wamejaa utomvu na wabichi
Shirikisha
Soma Zaburi 92Zaburi 92:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watastawi katika nyua za Mungu wetu. Watazaa matunda hadi wakati wa uzee, Watajaa utomvu, watakuwa na ubichi.
Shirikisha
Soma Zaburi 92