Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 82:3-4 - Compare All Versions

Zaburi 82:3-4 BHN (Biblia Habari Njema)

Wapeni wanyonge na yatima haki zao; tekelezeni haki za wanaoonewa na fukara. Waokoeni wanyonge na maskini, waokoeni makuchani mwa wadhalimu.

Shirikisha
Zaburi 82 BHN

Zaburi 82:3-4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mfanyieni hukumu maskini na yatima; Mtendeeni haki aliyeonewa, na fukara; Mwokoeni maskini na mhitaji; Mwopoeni mikononi mwa wadhalimu.

Shirikisha
Zaburi 82 SRUV

Zaburi 82:3-4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mfanyieni hukumu maskini na yatima; Mtendeeni haki aliyeonewa na fukara; Mwokoeni maskini na mhitaji; Mwopoeni mikononi mwa wadhalimu.

Shirikisha
Zaburi 82 SUV

Zaburi 82:3-4 NEN (Neno)

Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na waliodhulumiwa. Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu.

Shirikisha
Zaburi 82 NEN