Zaburi 73:5-6
Zaburi 73:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Taabu za binadamu haziwapati hao; hawapati mateso kama watu wengine. Kiburi kimekuwa mkufu wao shingoni, uhasama ni kama nguo yao.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hawana taabu kama watu wengine, Wala hawapati mapigo kama wanadamu wenzao. Hivyo kiburi kimekuwa mkufu shingoni mwao, Udhalimu huwavika kama nguo.
Shirikisha
Soma Zaburi 73