Zaburi 37:7-8
Zaburi 37:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Tulia mbele ya Mwenyezi-Mungu, mngojee kwa saburi; usihangaike juu ya wale wanaofanikiwa, watu wanaofaulu katika mipango yao mibaya. Epuka hasira wala usiwe na ghadhabu; usihangaike maana hiyo huzidisha ubaya.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utulie mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa subira; Usihangaike juu ya afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu apangaye maovu. Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya.
Shirikisha
Soma Zaburi 37