Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 37:7-8

Zab 37:7-8 SUV

Ukae kimya mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa saburi; Usimkasirikie yeye afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu afanyaye hila. Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya.

Soma Zab 37