Zaburi 119:46-48
Zaburi 119:46-48 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawatangazia wafalme maamuzi yako, wala sitaona aibu. Furaha yangu ni kuzitii amri zako, ambazo mimi nazipenda. Naziheshimu na kuzipenda amri zako; nitayatafakari masharti yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:46-48 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitazinena shuhuda zako mbele ya wafalme, Wala sitaona aibu. Nami nitajifurahisha sana kwa maagizo yako, Ambayo nimeyapenda. Na mikono yangu nitayainulia maagizo yako niliyoyapenda, Nami nitazitafakari amri zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:46-48 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitazinena shuhuda zako mbele ya wafalme, Wala sitaona aibu. Nami nitajifurahisha sana kwa maagizo yako, Ambayo nimeyapenda. Na mikono yangu nitayainulia maagizo yako niliyoyapenda, Nami nitazitafakari amri zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119