Methali 4:8-9
Methali 4:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mthamini sana Hekima, naye atakutukuza; ukimshikilia atakupa heshima. Atakuvika kilemba kizuri kichwani pako, atakupa taji maridadi.”
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umtukuze, naye atakukuza; Atakupatia heshima, ukimkumbatia. Atakupa neema kuwa kilemba kichwani; Na kukukirimia taji la uzuri.
Shirikisha
Soma Methali 4