Methali 4:8
Methali 4:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mthamini sana Hekima, naye atakutukuza; ukimshikilia atakupa heshima.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umtukuze, naye atakukuza; Atakupatia heshima, ukimkumbatia.
Shirikisha
Soma Methali 4