Methali 4:6-7
Methali 4:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Usimwache Hekima, naye atakutunza; umpende, naye atakulinda. Jambo la msingi ni kujipatia hekima; toa vyote ulivyonavyo ujipatie akili.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usimwache, naye atakusitiri; Umpende, naye atakulinda. Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usimwache, naye atakuhifadhi; Umpende, naye atakulinda. Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu.
Shirikisha
Soma Methali 4