Methali 4:22
Methali 4:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana ni uhai kwa wale wazipatao, Na afya ya mwili wao wote.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana hayo ni uhai kwa mtu anayeyapata, ni dawa kwa mwili wake wote.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana ni uhai kwa wale wazipatao, Na afya ya mwili wao wote.
Shirikisha
Soma Methali 4