Methali 4:20
Methali 4:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, sikiliza kwa makini maneno yangu, itegee sikio misemo yangu.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, sikiliza maneno yangu; Tega sikio lako, uzisikie kauli zangu.
Shirikisha
Soma Methali 4