Methali 4:12
Methali 4:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Ukitembea hatua zako hazitazuiwa, wala ukikimbia hutajikwaa.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uendapo, hatua zako hazitadhiikika, Wala ukipiga mbio hutajikwaa.
Shirikisha
Soma Methali 4