Methali 4:11-13
Methali 4:11-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimekufundisha njia ya hekima, nimekuongoza katika njia nyofu. Ukitembea hatua zako hazitazuiwa, wala ukikimbia hutajikwaa. Zingatia mafundisho ya Hekima na usimwache aponyoke, mshike kwa makini maana yeye ni uhai wako.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:11-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimekufundisha katika njia ya hekima; Nimekuongoza katika mapito ya unyofu. Uendapo, hatua zako hazitadhiikika, Wala ukipiga mbio hutajikwaa. Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:11-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Methali 4