Methali 4:11-12
Methali 4:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimekufundisha njia ya hekima, nimekuongoza katika njia nyofu. Ukitembea hatua zako hazitazuiwa, wala ukikimbia hutajikwaa.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimekufundisha katika njia ya hekima; Nimekuongoza katika mapito ya unyofu. Uendapo, hatua zako hazitadhiikika, Wala ukipiga mbio hutajikwaa.
Shirikisha
Soma Methali 4