Methali 3:11-12
Methali 3:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake; maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na BWANA, Wala usione ni taabu kurudiwa naye. Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye.
Shirikisha
Soma Methali 3