Mithali 3:11-12
Mithali 3:11-12 NEN
Mwanangu, usiidharau adhabu ya BWANA na usichukie kukaripiwa naye, kwa sababu BWANA huwaadibisha wale awapendao, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye.