Methali 26:24-25
Methali 26:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye chuki huficha chuki yake kwa maneno mazuri, lakini huwa ana hila moyoni mwake. Akiongea vizuri usimwamini, moyoni mwake mna chuki chungu nzima.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Achukiaye huficha chuki kwa midomo yake; Naye huweka akiba ya hila moyoni mwake. Anenapo maneno mazuri usimsadiki; Kwa maana ana machukizo saba moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Methali 26