Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 26:24-25

Mithali 26:24-25 SRUV

Achukiaye huficha chuki kwa midomo yake; Naye huweka akiba ya hila moyoni mwake. Anenapo maneno mazuri usimsadiki; Kwa maana ana machukizo saba moyoni mwake.

Soma Mithali 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 26:24-25

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha