Methali 26:20-21
Methali 26:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Bila kuni, moto huzimika; bila mchochezi, ugomvi humalizika. Kama vile makaa au kuni huchochea moto, ndivyo mgomvi achocheavyo ugomvi.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moto hufa kwa kukosa kuni; Na bila mchongezi fitina hukoma. Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, Na kama kuni juu ya moto; Ndivyo mtu mgomvi achocheavyo uadui.
Shirikisha
Soma Methali 26