Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 26:20-21

Mithali 26:20-21 NENO

Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika. Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi.