Methali 23:26-28
Methali 23:26-28 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, nisikilize kwa makini, shikilia mwenendo wa maisha yangu. Malaya ni shimo refu la kutega watu; mwanamke mgeni ni kama kisima chembamba. Yeye hunyemelea kama mnyanganyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:26-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu. Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni mtego wa shimo jembamba. Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu.
Shirikisha
Soma Methali 23