Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 23:26-28

Mit 23:26-28 SUV

Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu. Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba. Naam, huotea kama mnyang’anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu.

Soma Mit 23