Mithali 23:26-28
Mithali 23:26-28 NENO
Mwanangu, nipe moyo wako, macho yako na yafuate njia zangu, kwa maana kahaba ni shimo refu na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba. Kama mnyangʼanyi, hungojea akivizia, naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume.