Methali 20:2-3
Methali 20:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ghadhabu kali ya mfalme ni kama simba angurumaye; anayemkasirisha anayahatarisha maisha yake. Ni jambo la heshima kuepa ugomvi; wapumbavu ndio wanaogombana.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utisho wa mfalme ni kama ngurumo ya simba; Amkasirishaye huitendea dhambi nafsi yake. Mtu kujitenga na ugomvi ni heshima kwake; Bali kila mpumbavu ataka kugombana.
Shirikisha
Soma Methali 20