Methali 14:7-8
Methali 14:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Ondoka mahali alipo mpumbavu, maana hapo alipo hamna maneno ya hekima. Hekima ya mwenye busara humwonesha njia yake, lakini upumbavu wa wapumbavu huwadanganya wenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Toka mbele ya uso wa mpumbavu, Maana hutaona kwake midomo ya maarifa. Akili za mwenye busara ni kujua njia yake; Lakini upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu.
Shirikisha
Soma Methali 14