Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 14:7-8

Mithali 14:7-8 NENO

Kaa mbali na mtu mpumbavu, kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake. Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake, bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu.