Methali 14:11-12
Methali 14:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyumba ya mtu mwovu itabomolewa, lakini hema ya wanyofu itaimarishwa. Njia unayodhani kuwa ni sawa, mwishoni yaweza kukuongoza kwenye kifo.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nyumba ya mtu mwovu itabomolewa; Bali hema la mwenye haki litafanikiwa. Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
Shirikisha
Soma Methali 14