Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 14:11-12

Methali 14:11-12 BHN

Nyumba ya mtu mwovu itabomolewa, lakini hema ya wanyofu itaimarishwa. Njia unayodhani kuwa ni sawa, mwishoni yaweza kukuongoza kwenye kifo.

Soma Methali 14