Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 14:11-12

Mithali 14:11-12 SRUV

Nyumba ya mtu mwovu itabomolewa; Bali hema la mwenye haki litafanikiwa. Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti.

Soma Mithali 14