Methali 13:5-6
Methali 13:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwadilifu huuchukia uongo, lakini mwovu hutenda kwa aibu na fedheha. Uadilifu huwalinda wenye mwenendo mnyofu, lakini dhambi huwaangusha waovu.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye haki huchukia kusema uongo; Bali mtu mbaya huwa karaha, hupatwa na aibu. Haki humlinda yeye aliye mnyofu katika njia yake; Bali ubaya humwangusha mwenye dhambi.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwenye haki huchukia kusema uongo; Bali mtu mbaya huwa karaha, hupatwa na aibu. Haki humlinda yeye aliye mnyofu katika njia yake; Bali ubaya humwangusha mwenye dhambi.
Shirikisha
Soma Methali 13