Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 13:5-6

Methali 13:5-6 BHN

Mwadilifu huuchukia uongo, lakini mwovu hutenda kwa aibu na fedheha. Uadilifu huwalinda wenye mwenendo mnyofu, lakini dhambi huwaangusha waovu.

Soma Methali 13