Methali 10:3-4
Methali 10:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu hawaachi waadilifu wapate njaa, lakini huzipinga tamaa za waovu. Uvivu husababisha umaskini, lakini mkono wa mtu wa bidii hutajirisha.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali. Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.
Shirikisha
Soma Methali 10