Methali 10:13-14
Methali 10:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Kinywani mwa mwenye ufahamu mna hekima, lakini wasio na akili watachapwa viboko mgongoni. Wenye hekima huhifadhi maarifa, lakini kuropoka kwa mpumbavu huleta maangamizi haraka.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hekima hupatikana midomoni mwa mwenye ufahamu; Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu. Watu wenye akili huweka akiba ya maarifa; Bali kinywa cha mpumbavu ni uangamivu ulio karibu.
Shirikisha
Soma Methali 10