Wafilipi 4:1
Wafilipi 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, ndugu zangu wapenzi, ninaotamani sana kuwaoneni, nyinyi mlio furaha yangu na taji ya ushindi wangu, ndivyo basi mnavyopaswa kukaa imara katika kuungana na Bwana, enyi wapenzi wangu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, ndugu zangu, wapendwa wangu, ninaowaonea shauku, furaha yangu, na taji langu, hivyo simameni imara katika Bwana, wapenzi wangu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4