Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 4:1

Wafilipi 4:1 NENO

Kwa hiyo, ndugu zangu, ninaowapenda na ambao ninawaonea shauku, ninyi mlio furaha yangu na taji langu, hivi ndivyo iwapasavyo kusimama imara katika Bwana, ninyi wapendwa wangu.