Wafilipi 2:20-21
Wafilipi 2:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Sina mtu mwingine kama yeye ambaye anawashughulikieni kwa moyo. Wengine wanashughulikia tu mambo yao wenyewe badala ya kuyashughulikia mambo ya Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana sina mtu mwingine mwenye nia moja nami, atakayeiangalia hali yenu kweli kweli. Maana wote wanatafuta vyao wenyewe, sivyo vya Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2