Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:20-21

Wafilipi 2:20-21 NENO

Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi. Kwa maana kila mmoja anajishughulisha zaidi na mambo yake mwenyewe wala si yale ya Yesu Kristo.