Mathayo 20:3-4
Mathayo 20:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Akawaambia, ‘Nendeni nanyi mkafanye kazi katika shamba la mizabibu, nami nitawapeni haki yenu.’
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi; na hao nao akawaambia, Nendeni nanyi pia katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.
Shirikisha
Soma Mathayo 20